Hapa kutoka kushoto ni kaka yangu wa mwisho Philoteo, katikati ni mjomba wangu mwl. John Bosco Ngonyani anajulikana zaidi kwa jina la JB na mwisho ni mwenyewe Kapulya. Siku hii ilikuwa siku ya furaha sana katika maisha yangu kwani nilikuwa sijaonana na mjomba wangu mpendwa karibu mika ishirini ...Muwe na WAKATI MZURI PIA JUMAMOSI NJEMA YA MWEZI HUU WA KUMI NA MBILI AMBAYO NI YA KWANZA NA KESHO NDO TUNAANZA KUSUBIRI ULE UJIO /KUZALIWA WA/KWA BWANA YESU KRISTU.
asante sana nawewepia uwe na wakati mzuri sana nikweli ilibidi ufurahi sana maana miaka ishirini hujaonana na unayempenda
ReplyDeleteHapo dada wanifurahisha kuwa unakumbuka uh Mwana wa palonji ukiwa mwenye asili ya kutokea katikati ya ziwa nyasa na huyo kaka yako wala huulizi mmefanana tu kabisaaa kinakala halisi haya dada nawe wk end njema - Na Mbambu Mbawala
ReplyDeleteHii inapendeza kwelikweli.Wikiendi njema kwa ndugu,jamaa na marafiki na majirani.
ReplyDeleteBatamwa ...yaaniilikuwa raha ya pekee nilimrukia nusu aanguke...
ReplyDeleteBambu Mbawala! usengwili sana cha ujovili.
kaka Ray nawe pia natumai umekuwa na wikiendi njema
Anony! thank you I will.
Mmefanana balaa na kaka mdogo..
ReplyDeleteMija! Ahsante ila yeye mrefu:-)
ReplyDelete