Kila CHOZI ni ishara ya MAUMIVU. Kila ukimya ni ishara ya UPWEKE, kila TABASAMU ni ishara ya FURAHA, lakini kila ujumbe ni ishara ya kum-mis/kumtamani mtu. NAWATAKIENI WOTE MTAOPITA HAPA ASUBUHI ,MCHANA, JIONI AU NISEME TU IJUMAA NJEMA.....KAPULYA!!!!
Asante sana nawe pia twakutakia heri kwa kila ufanyacho na weekend njema
ReplyDeleteEste Ahsante naamini nawe utakuwa na mwisho wa juma mzuri...PAMOJA DAIMA!!!
ReplyDelete
ReplyDeleteCHOZI = MAUMIVU
UKIMYA = UPWEKE
TABASAMU = FURAHA
UJUMBE = KUTAMANI
@Yasii;
Ujumbe wako wa wikiendi kwa ufupi ndiyo huo na hakika kila mdau atautamani.
==============================
Kila kuendako hisani hakurudi nuksani bali shukrani.
=================================
Wikiendi ya salamu,shukrani,samahani na subira kwa wadau wote.
Nimeipenda hiyo Mzazi coz
ReplyDeleteNina TABASAMU= FURAHA
@Miyonjo;
ReplyDeleteUnaweza kcheka kabla ya kutabasamu,jaribu tafadhali!!
POWAAA UJUMBE NIMEUPENDA
ReplyDeleteSaa zingine chozi linaweza kuwa la furaha!
ReplyDeletekaka Ray! Ahsante...
ReplyDeleteGotard! kwanza karibu sana hapa maisha na mafanikio pili nafurahi kwa kuipenda hii...
Steven! Ahsante
Usiye na jina! ni kweli wengine wanatoa chozi wanapokuwa na furaha..
Ujumbe murua
ReplyDeleteAsante!
ReplyDeleteIli kuna wakati chozi huwa ishara ya furaha. Maana huwa inatokea kulia na kucheka kuwa na maana maana moja.
Kila la kheri.
kaka Luddo! kwanza nasema karibu sana katika kibaraza cha Maisha na mafaniki..pia ahsante..
ReplyDeleteKaka Salehe! umesema kweli kabisa.