Tuesday, December 4, 2012

NIMEUPENDA UJUMBE HUU:-)

Nimeupenda ujumbe huu kwa kweli ...nahisi nawe unayesoma umeupenda pia basi ngoja niwatakieni wote mtakaosoma siku njema.PAMOJA DAIMA...

5 comments:

  1. @Yasii;
    Huu ujumbe unakumbusha kwa ndugu zetu wenye asili ya kiasia!
    "Jumaaa; wewe kuja omba kaji makono nyuma,sasa pata kaji makono bele,tabu kani bana kuba"?

    ReplyDelete
  2. Kaka Ray! umenichekesha kweli mpaka nikakumbuka ule msema wa ka"katibu kata wa kata ya mkata amekataa kata kata kukata miti katika kata ya mkata...sijui kwa nini nimekumbuka hili..
    Mwal.Mbele! yaani ni kazi kubwa tu..

    ReplyDelete
  3. @Yasii;
    Kale kakuku kadogo keusi ka kwangu kako kule kwako?
    ====================================
    Wale maliwali wawili uliowaona hawali wali wala mawele!

    ReplyDelete
  4. Hehehehe.. hii kali. Halafu ni kweli kabisa, kukaa bila kazi ni kazi kuzidi kazi yenyewe..

    Yasinta asante kwa Tangazo..

    ReplyDelete