Hapa ni magimbi kabla hajamenywa na ....
....hapa tayari yamemenywa na kuchemshwa tayari kwa kula. Magimbi unaweza kula kama chakula cha asubuhi, mchana au jioni. Ila mimi nimeyatamani sana leo na ningeyale kama chakula cha asubuhi hii ya leo kwa....
.
......kikombe hiki cha chai ya rangi ila sasa.... haya ngoja nile kwa macho. Je? wewe mara ya mwisho ni lini umekula magimbi?
Napenda sana magimbi kwa chai asubuhi, tupo pamoja ndugu wangu
ReplyDeletemimi nimeyala mwezi wa sita nilipokuwa likizo nyumbani Bukoba maana nayalima shambani kwangu,mengine tulienda porini kuwinda tukachoma hukohuko wacha utamu wake ulivyokuwa mtamu maana chakula cha porini kinakuwaga kitamu yaani hapo mate yananitoka
ReplyDeleteNdugu wangu emu-3! tena chai yenyewe isiwe na sukari hapa ndiyo utauona utamu wake. Pamoja daima.
ReplyDeletebatwama! wewe unajua kweli kutamanisha mtu...ngoja nije huko Bukoba ...ulipotea au ndo ulikuwa unayafaidi magimbi nini?
hapana nipo ila mishughuli ya kila siku karibu Bukoba ukayafaidi
ReplyDeleteMagimbi ya BK na ya kule kwetu KILI sijui ladha ni ile ile Mshaija?
ReplyDeleteGood post. I learn something new and challenging on websites I stumbleupon every
ReplyDeleteday. It will always be helpful to read content from other writers and practice something from
other web sites.
Here is my webpage - how to get your ex back
waitu Ray ladha ni ileile tu maana udongo unafanana kwa kiasifulani hivyo hayakuwa na tofauti kubwa sana
ReplyDeleteInfwakiti yesi!!
ReplyDeleteDuh watu mnajua kutamanisha wenzenu, sasa unafanyaje huko au hv vitu vipo huko?
ReplyDeletemie leo ntapita sokoni Buguruni nikajinunulie kwa ajili ya mlo wa usiku.