Ni kweli hakuna aliye mkamilifu. Tumeumbwa tu kwa sura na mfano wa Mungu aliye mkamilifu na ukamilifu wenyewe ... lakini kamwe sisi hatuwezi kuwa kama yeye. Ila ametujalia akili, utashi, uhuru na uwezo wa kutambua jema na baya. Tukiyajua haya, tutawapokea wenzetu kwa vile walivyo na kujazia upungufu wao kama vile wao wanavyotumia uzuri walio nao kujazia upungufu wetu. Ni kwa mabadilishano haya tu ndiyo tunaukaribia ule ukamilifu. Pamoja sana!
NAWATAKIENNI IJUMAPILI NJEMA NYOTE WAPENDANAO TAFAKALINI TUNA TOKA WAPI NA TUNAKWENDA WAPI!, UKIJUA HILO HAKIKA UTAFANIKIWA
ReplyDeleteSteven nawe uwe na jumapili njema sana. Ahsante kwa tafakari...
ReplyDeleteJ'Pili njema nanyi pia na woote!!MUNGU awalinde na kuwabariki..
ReplyDeleteNi kweli hakuna aliye mkamilifu. Tumeumbwa tu kwa sura na mfano wa Mungu aliye mkamilifu na ukamilifu wenyewe ... lakini kamwe sisi hatuwezi kuwa kama yeye. Ila ametujalia akili, utashi, uhuru na uwezo wa kutambua jema na baya. Tukiyajua haya, tutawapokea wenzetu kwa vile walivyo na kujazia upungufu wao kama vile wao wanavyotumia uzuri walio nao kujazia upungufu wetu. Ni kwa mabadilishano haya tu ndiyo tunaukaribia ule ukamilifu. Pamoja sana!
ReplyDeleteAsante na salamu za wikiendi kwa wadau wote wa kibarazani.
ReplyDelete