mwal.Mhango haitawezekana kwenda na paspoti wakati nimezaliwa kule..nakubaliana nawe wanasiasa ni viumbe wa ajbau sana Mungu ameumba ardhi na wao wanasema yangu yangu kaaazi kwelikweli. Usiye na jina! nikatee tena kwangu kama ulivyosema ntakuwa mtumwa.
Da´mdogo Ester! mwenzio wakati naishi hapo nilikuwa kweli nanukia samaki mimi na samaki kama vile maji na samaki..
Raha sana, tena unapata samaki moja kwa moja kutoka ziwani akiwa na ubora wake uleule.
ReplyDeleteNa samaki huyo anavyonoga weweeeeee yaani nimekumbuka kweli nyasa kwetu..Lazima niende tena...
ReplyDeleteYacinta kumbuka paspoti kama utataka kuingia mle ziwani kuogelea according to our sister Joyce Mtila Banda.
ReplyDeleteWanasiasa ni viumbe wa ajabu. Laiti wangekuwa samaki nisingekula nyama kamwe.
ndio Yasinta mtu kwao mkataa kwa ni mtumwa!!!
ReplyDeleteyaaani ningeishi maeneo haya...ningekuwa nanukia samaki tuuuu...tena ningejua kuvua samaki....raha sanaaaaaaa
ReplyDeletemwal.Mhango haitawezekana kwenda na paspoti wakati nimezaliwa kule..nakubaliana nawe wanasiasa ni viumbe wa ajbau sana Mungu ameumba ardhi na wao wanasema yangu yangu kaaazi kwelikweli.
ReplyDeleteUsiye na jina! nikatee tena kwangu kama ulivyosema ntakuwa mtumwa.
Da´mdogo Ester! mwenzio wakati naishi hapo nilikuwa kweli nanukia samaki mimi na samaki kama vile maji na samaki..
Ila samaki wa ziwa nyasa ni watamu jamani:Kambare,mbufu,hango,kitui,ngogo,ngisi,magege...!
ReplyDelete