Wachawee! ngoma za asili nitamu kuzicheza hasa kama unazijuwa.Yasinta samahani kidogo hii ngoma sidhani kama ni ya wasukuma,kwa kuisikiliza na kuitazama inafanana na ngoma kutoka mtwara kama sikosei inayoitwa MALIVATA .ila mazingira na muonekano wa zana za muziki hakika ni wasukuma na maranyingi mkusanyiko huo wa ngoma kama vifaa ala huifanya ngoma maarufu ya wasukuma iitwayo BUGOBOGOBO inoge zaidi.kaka s.
Pole sana da,Yasinta.Nikweli wameandika hivyo lakini nimeangalia tena hiyo si ngoma ya wasukuma. ila ni wasukuma wamecheza ngoma kutoka mtwara/lindi katika mazingira ya kisukuma.maranyingi kwa uhakika ngoma hii huchezwa na vijembe vidogo,na ndo hapo mtu aliye itundika kwenye mtandao huenda alichanganya kwani wasukuma pia wana ngoma inayo tumia vijembe vidogo,na ndiyo Bugobogobo mwanawanane !! we itafute tu ni nzuli. kaka s
Wachawee! ngoma za asili nitamu kuzicheza hasa kama unazijuwa.Yasinta samahani kidogo hii ngoma sidhani kama ni ya wasukuma,kwa kuisikiliza na kuitazama inafanana na ngoma kutoka mtwara kama sikosei inayoitwa MALIVATA .ila mazingira na muonekano wa zana za muziki hakika ni wasukuma na maranyingi mkusanyiko huo wa ngoma kama vifaa ala huifanya ngoma maarufu ya wasukuma iitwayo BUGOBOGOBO inoge zaidi.kaka s.
ReplyDeleteKaka Sam! nilipotafuta ngoma ya kisukuma na ikatokea hii na hata hapo kwenye video unaona wameandika Sukuma dance..nitatafuta hiyo BUGOBOGOBO:-)
ReplyDeletePole sana da,Yasinta.Nikweli wameandika hivyo lakini nimeangalia tena hiyo si ngoma ya wasukuma. ila ni wasukuma wamecheza ngoma kutoka mtwara/lindi katika mazingira ya kisukuma.maranyingi kwa uhakika ngoma hii huchezwa na vijembe vidogo,na ndo hapo mtu aliye itundika kwenye mtandao huenda alichanganya kwani wasukuma pia wana ngoma inayo tumia vijembe vidogo,na ndiyo Bugobogobo mwanawanane !! we itafute tu ni nzuli. kaka s
ReplyDelete