Blog ya Maisha na Mafanikio inapenda kuwatakia wote jumamosi njema. Pia nachukua nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kunilinda na kujalia afya njema. Pia kwa kuwalinda watu wote na kuwajalia afya njema na kuwapa watu nyoyo zenye huruma na mapendo.JUMAMOSI NJEMA NDUGU ZANGUNI!"!!
Jumamosi iwe njema kwenu pia dada.
ReplyDeleteDada Kachiki ubarikiwe sana na ahsante..
ReplyDeleteKwako pia mdada wangu.
ReplyDeletenilisahau kupositi jana. asante kwa kutukumbuka jmosi,jpili njema .
ReplyDeleteni zilipendwa pale tu unapojihisi KIJEBA ila kiukweli...Mt Simon atasema teh teh teh!
ReplyDeletehuku kwetu ni salama kabisa......twaamini nanyi hamjambo
ReplyDeleteNiulize kidogo, hiyo fasheni inaitwaje? J3 Njema ,natumai sijachelewa
ReplyDeleteEdna! Ahsante ndugu yangu ila wikienda yangu yote imeishia kubaba maboxi.
ReplyDeleteKaka Goodluck! Ninaimani nawe ulikuwa na jumamosi njema.
Chaha! mmhh Sijui kama nimekupata hapa.
Ester Ni furaha kusikia huwa wote salama hata hapa ni salama.
emu-three! fasheni gani unayotaka kujua inaitwaje?
j3 njema kwako pia.