Jumapili ya jana ilikuwa sio kama jumapili nyingine. Jumapili hii kulikuwa na ugeni kutoka Tanzania Huyo baba mwenye suti nyeusi ni baba askofu na anatokea njombe ila anafanya kazi Dodoma na mwenye nguo za kijiani kijana ni mke wake halafu walikuwa wakaka watatu ambao ni wamasai...Kama kawaida Kapulya hakukosa kuuliza maswali hapa nilijikuta nipo nyumbani kabisa kuonana na waTanzania wenzangu na kuongea kiswahili kwa raha zote pia kibene. Majina yao nimesahau kidogo...
Hapa hadithi zimekolea na wote tupo ndani ya kicheko kama muonavyo....
Ndani ya kanisa
inapendeza na kuvutia unapokutana na watu kutoka bongo. kaka s
ReplyDeleteAaaah mambo yalikuwa matamu kweli maana kuna pozi moja la kushika mkono kiunoni mie hoiiiiiii kwa kichekoooo. Lol
ReplyDeleteSafi sana. Nimependa jinsi Watanzania hao walivyofurahi na kupata bahati ya pekee kukutana na wewe. Naamini hapo Kapulya alikuwa Kapulya kwelikweli ... maana Mjukuu huyu wa Shaka Zulu ni hodari wa masimulizi ... Hongereni sana.
ReplyDeleteKwa muda mfupi mtu unajiona uko kwenu..
ReplyDeleteSafi sana yaani..
duh hadi raha, bigup mdada,
ReplyDeleteduh, raha sana, nahisi ulifurahi kupita maelezo, safi sana
ReplyDeleteNachukua nafasi hii na kuwashukuruni wote kwa kuwa nami. Hakika jumapili hii itakuwa ambayo kati ya zile ambazo sitazisahau MISA YA KISWAHILI hakuna raha kama hiyo. Nilifurahi sana na wao walifurahi sana kama muonavyo katika picha.
ReplyDeletesafi hiyo aisee
ReplyDeleteNimefurahi kuiona hiyo picha ya pili! Mhhhhhh!
ReplyDeleteNimefurahi kuiona hiyo picha ya pili! Mhhhhhh! Hiyo picha umeshika kiuno, natamani nami ningekishika!
ReplyDelete