TUIANZE WIKI/JUMATATU HII NA:- CHEMSHA BONGO KIDOGO!!!
Ni hivi:- Baba mmoja alikuwa na mabinti 6/sita na kila binti alikuwa na kaka mmoja. Je? baba huyu alikuwa na watoto wangapi ?
NAWATAKIENI WOTE MWANZO MWEMA WA JUMA HILI!!!!
kwa mila za kikwetu kuwa na watoto 7 ni laana ha ha ha ha ha haaaaaa! hivo mzazi akifikisha watoto saba hujibidisha awe na mmoja wa ziada ili wawe 8 ama 6
anyway, alikuwa na watoto 7 tu...kivulana cha mbegu kimoja tu!
Wote Tsubiri kidogo na wala msikonde..kaka John ulikuwa kimya ni furaha kuwa upo nasi .Yasin Mbele! karibu sana kibarazani..nawe kaka Silvan ulikuwa umepotea karibu tena
kwa mila za kikwetu kuwa na watoto 7 ni laana ha ha ha ha ha haaaaaa! hivo mzazi akifikisha watoto saba hujibidisha awe na mmoja wa ziada ili wawe 8 ama 6
ReplyDeleteanyway, alikuwa na watoto 7 tu...kivulana cha mbegu kimoja tu!
7
ReplyDeletewale wazoefu wa kuingia chaka jibu wanalo
ReplyDelete7 ndugu tumepata au tumekosea?
ReplyDeleteWote Tsubiri kidogo na wala msikonde..kaka John ulikuwa kimya ni furaha kuwa upo nasi .Yasin Mbele! karibu sana kibarazani..nawe kaka Silvan ulikuwa umepotea karibu tena
ReplyDeleteNashukuru kwa chemsha bongo hii alikuwa na watoto kumi na mbili (12) siku njema
ReplyDeletedada mkuu yasinta bado kidogo nitarejea
ReplyDeletedada Sara jibu karibu litakuja...
ReplyDeleteKaka Mkuu John Nakusubiri chukua muda uutakao ila usikawie...