Thursday, August 2, 2012

PICHA YA WIKI:- KUNA UBAYA GANI???

Wote ni akina mama yupi bora?

7 comments:

  1. kwa hao wawili bora huyo mama wa upande wa kushoto, kamkumbatia mwanae vizuriiiiiiiii

    ReplyDelete
  2. Wote ni mama bora sema tofauti ni kiwango cha akili na teknolojia.

    ReplyDelete
  3. bora ni mama wa kushoto yeye anahuruma zaidi na upendo au kwavile ni wa jamii ya akina Ngonyani!!!??

    ReplyDelete
  4. Ni nani kama mama na mama dhahabu isiyoisha thamani.Kila mtu hulia mama yangu au yarabi nafsi yangu.Kukumbatia na kutoa mazoezi yote malezi kutoka kwa mama.Baraka ziifikie matiti tuliyonyonya na mikono salama iliyotulea.

    ReplyDelete
  5. Ester kweli hata mie naona ni bora huyo wa kushoto...anaonyesha upendo...

    Chacha!! sikupingi ..

    Mwal. Mhango! Ulichonena inawezekana ni kweli kabisa..Lakini nyani ana akili kuliko binadamu kweli?

    batamwa! Haha haaaaa nimecheka kweli "Eti kwavile ni wa jamii ya akina Ngonyani!!!??" hapa sina jibu kwa kweli

    Ray! Nimeppenda ulivyosema "Kila mtu hulia mama yangu au yarabi nafsi yangu" hivi kwanini hatusemi baba wee au baba yangu?

    ReplyDelete
  6. ndio tunasema mama kwa vile mama ni mamayako kweli kakutoa tumboni mwake,hata sisi kwetu ukiwa unajigamba unatambia ukoo wa mama yako

    ReplyDelete