NA MCHANA HUU NINGEPENDAA KUANDAA CHAKULA CHA AINA HII:- UGALI/WALI WA NAZI NA MBAAZI!!! LAKINI SASA MBAAZI NITAPATA WAPI?
WALI WA NAZI
UGALI WA MAHINDI....
NA HAPA NI MBAAZI, Nimezikumbuka sana mbaazi.Kwa mimi ningependa wali kwa mbaazi lakini nimeona niweke na ugali maana kuna wengine wanapenda ugali...karibuni...
Duh umenifurahishaje hapo shost??? Ahsante sana ila nimetamani sijui nami nikanunue hilo boga hlf mchana nikusaport kwa mbaazi na wali??? hv kweli ntapata mbaazi mbichi? huwa zinanoga kuliko kavu. thanks again. Gud day
Udenda unanimiminika ... Nimependa mno chakula hicho. Sijui nitawahi bado wa motomoto au utakuwa umeshapoa ntakapofika hapo!
ReplyDeletekaka Simbadeo! wala usihofu utawahi kabisa karibu sana!
ReplyDeleteduh!,cio cr dadaa huo ubwa.........umenitoa mate. i lk it.
ReplyDeleteDuh umenifurahishaje hapo shost??? Ahsante sana ila nimetamani sijui nami nikanunue hilo boga hlf mchana nikusaport kwa mbaazi na wali??? hv kweli ntapata mbaazi mbichi? huwa zinanoga kuliko kavu. thanks again. Gud day
ReplyDelete