LEO TUNAADHIMISHA SIKUKUU YA WAKULIMA -NANENANE...MWAKA JANA 2011 MSAMALA/SONGEA!!!
Mwaka jana siku kama ya leo tulikuwa tunajumuika kwa karibu kabisa kushrehekea sikukuu hii na hapa mnaona baadhi ya picha tulizopiga....Ndizi aina: BUKOBA
Ndizi aina: JAMAICA
NA HAPA NI BIRINGANYA
Na hapa ni KABEJI AINA YA FI..Mambo yote haya yilifanyika katika mji wa Songea /MSAMALA......WAKULIMA OYEEEEE. NILIIFURAHIA SANA SIKU HII:-)
Ndugu wangu tumeshasherehekea sijui kwa vipoi labda wenzangu, ndio hivyo tena kufa kufaana
ReplyDeleteHaswa kufa kufaana..mie nimesherehekea kivyangu pia...Bustanini kwangu kwani nami si unajua "Mkulima"..
ReplyDelete