Sunday, August 26, 2012

JUMAPILI YA LEO : NA WIMBO HUU AIYELELE KWAYA YA MT. CECILIA PAROKIA YA MAVURUNZA DAR ES SALAAM!!


Nimejikuta nipo kanisa langu nililobatizwa MAKWAI/Lundo au sijui Kingole mmhh labda Litumbadyosi au pengine Matogoro Songea mmmhh labda Ruhuwiko...Haya jamani ndugu zangu katika kristu tuwe na JUMAPILI NJEMA NA AMANI NA UPENDO  VITAWALE MAJUMBANI MWETU. AMINA

4 comments:

  1. Yasinta, embu jaribu kupunguza au kuacha kabisa COPY na PASTE ona ilivyokugharimu. Kuwa mbunifu kwa kuweka habari ulizoziandaa mwenyewe, punguza desa! Kila wakati unahamisha vitu kwenye sehemu zingine au blog au website mbalimbali, na unakuta mtu ulishasoma kabla hujaweka hapa tayari. Wakati mwingi inachosha au kuboa. Asilimia 75% iwe haijawa copied somewhere na asilimia 25% au pungufu ya hapo ndio ucopy ukiendelea hivi utaacha COPY PASTE kwa kiasi kikubwa. Ni wazo tu. si unajua tena wewe unaishi nje na mambo ya COPYRIGHTS eh?

    ReplyDelete
  2. Usiye na jina hapo juu! Ahsante kwa ushauri wako...na jumapili njema pia.

    ReplyDelete
  3. J'Pili iwe nono kwako na familia pia.Pamoja daima

    ReplyDelete