.....na hapa ndiyo nimefika golini...hii ilikuwa leo asubuhi...nimepanga kupata dhahabu ya olimpiki ..LOL
mazoezi tu kwa ajili ya afya ..ngoja nikapalilie bustani yangu sasa...
nadhani ulikuwa unaimba...mchaka mchaka chinja, alimselema alija.....hahahah, safi sana nimependa ufanyaji wako wa mazoezi, jiandae mwakani tupate medali
emu-3! wewe ngoja tu yaani hapa hakuna mchezo...ni kweli kuongea twaweza sana. Ester! kama ulikuwepo huo wimbo halafu nikabadili adiamini akifa mimi siwezi kulia ntamtupa kagera awe chakula cha mamba....Ahsante kwa kupenda ufanyaji wangu mazoezi na kweli najiandaa si mchezo sasa mchezo umekwisha..nawe unakaribishwa kujiunga nami... Dada Changi1! hakuna uwiiii haya twende dada... Mtani Fadhy..Ahsante. Bustani ndio sehemu yangu nishindayo...hongera nawe.. Kachiki! yaani nawewe ndo kama ulikuwepo huo wimbo na halafu kama ulivyosema mpitie J.mwana wa Changi na muje lazima tupate medali taratibu ndio mwendo tutafika tu...
Hongera kwa mazoezi ya kuuweka mwili katika afya njema. Ni leo tu au kila siku?
ReplyDeleteya hapo lazima upate medali ya olimpiki
ReplyDeleteUsiye na jina hapo juu...hii ni kila siku na ni tangu nilivyoanza mchakamchaka shule ya msingi na sasa imekuwa desturi yangu...
ReplyDeletebatwana!nitachukua medali ya olimpiki kwa ajili ya Tanzania yangu.....
Jitahidi uje utuokoe maana sisi ni kichwa cha mwendawazimu , sijui tunaweza kushinda fani gani, labda ya kuongea,na kuongea kwenyewe....
ReplyDeletenadhani ulikuwa unaimba...mchaka mchaka chinja, alimselema alija.....hahahah, safi sana nimependa ufanyaji wako wa mazoezi, jiandae mwakani tupate medali
ReplyDeletehaya tuhamasishe na wengine uuuuuwwwwwi
ReplyDeletehongera sana. Nami nipo bustanini wakati huu nalimalima.
ReplyDeleteAlisemaaa alisemaa Alisema Nyerere Alisemaa Vijana wangu wote mmelegea Sharti tuanze Mchaka mchaka chinjaaaa!!
ReplyDeletehahahaha dada Kadala lazima upate Medali!!!!!!Hongera sana.
Ahsante kwa kutuhamasisha, haya da'Jennifer mwana Chinga1 tumuunge mkono da' Yasinta.
emu-3! wewe ngoja tu yaani hapa hakuna mchezo...ni kweli kuongea twaweza sana.
ReplyDeleteEster! kama ulikuwepo huo wimbo halafu nikabadili adiamini akifa mimi siwezi kulia ntamtupa kagera awe chakula cha mamba....Ahsante kwa kupenda ufanyaji wangu mazoezi na kweli najiandaa si mchezo sasa mchezo umekwisha..nawe unakaribishwa kujiunga nami...
Dada Changi1! hakuna uwiiii haya twende dada...
Mtani Fadhy..Ahsante. Bustani ndio sehemu yangu nishindayo...hongera nawe..
Kachiki! yaani nawewe ndo kama ulikuwepo huo wimbo na halafu kama ulivyosema mpitie J.mwana wa Changi na muje lazima tupate medali taratibu ndio mwendo tutafika tu...
Pamoja sana yani...nami kila asubuhi hukimbia baharini kwa nusu saa lakini mmmh...shughuli
ReplyDelete