NIlifikiri naweza kulingana na jengo hili ni tanki la maji ambalo lipo Karstad lina urefu wa mita 43. Na linatunza maji 3000 m3 au 300 0000 (milioni) lita za maji.
Mimi na Erik
Historia fupi ya jengo/tanki hili:-Jengo hili lilijengwa 1971-72. ukiingia ndani kuna ngazi 234 nami nimezipanda hizo leo. Baada ya hapo mdada hoi...Jioni njema jamani...!!!!
Erik keshakuzidi urefu lol..
ReplyDeletemsalimie Erick, natamani ningekuona ukwa unapanda hizo ngazi....asante kwa historia ya ngazi
ReplyDeleteWenzetu Summer yenu imekubali...
ReplyDeleteUmependeza sana mdada na mwanao..
Huyu nyumbani unaweza kuwa na teki au matenki lakini maji hayatoki bombani na yakitoka ni kwazamu.
ReplyDeleteFuraha;Furaha;Furahaaaaaaaaaaaaaaaaaa mama na mwana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteEdna! yaani hawa watoto wanakua kama majani ndiyo anakaribia kunipita iala mie ni mamake tu:-)
ReplyDeleteEster! Salamu zimefika.. Yaani nakuambia kilikuwa kichekesho..huwa sipatagi kuzunguzungu ila jana nilipata na leo ndo kivumbi kupiga magoti siwezi...LOL
Mija! kuna cha summer, hapa ilikuwa bahati tu maana hakuna ratiba basi panapokuwa na kajua hapohapo nanyi mjifungashe...
Kaka nyahbingi! unachosema ni kweli kabisa.
Kaka Ray..Haswa furahaaaaa...
Furahiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!
ReplyDelete