Sunday, June 3, 2012

LEO KIJANA ERIK ANATIMIZA MIAKA 12...HONGERA ERIK!!!

Tarehe kama ya leo 3/6/2000 familia iliongezeka, alizaliwa kijana huyo Erik  na leo hii anatimiza miaka 12. Erik, sisi wazazi, dada, ndugu pia marafiki wote tunakutakia kila la heri katika yote unayofanya. Kama vile masoma, yako, kwa vile unapenda sana michezo kama vile mpira wa miguu, flow boll na michezo mingine basi tunakutakia juhudi snyingi. Erik anasoma darasa la tano kwa sasa karibu ataanza la sita. Mwenyezi Mungu na akubariki uwe mtiiifu, mwenye juhudi kimasoma na mengine yote. DUH! KAMA MCHEZO LEO MIAKA 12. HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA ERIK.!!!!  

13 comments:

  1. Hongera mno Erik. Mungu azidi kukubariki kwa umri mrefu, baraka na mafanikio

    ReplyDelete
  2. Hongera sana kaka Erik!!Mungu azidi kukubariki katika yote!!!Hongera sana wazazi kwa kukuza,Mungu awape hemkina katika malezi yenu!!!
    Pamoja sana!!
    wako ma'mdogo Kachiki!

    ReplyDelete
  3. mjomba Simon na Mjomba Mathew asanteni sana kwa kunitakia kila la kheri..Mama mdogo kachiki ahsante sana kwa kunitakia khei.

    ReplyDelete
  4. happy birthday to you my brother!

    ReplyDelete
  5. Hongera sana Erick, Mungu akulinde na kukubariki siku zote za maisha yako

    ReplyDelete
  6. Waefeso 6:1-4

    1 Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika muungano na Bwana, kwa maana hilo ni jambo la uadilifu: 2 “Mheshimu baba yako na mama yako”; ambayo ndiyo amri ya kwanza yenye ahadi: 3 “Ili mambo yakuendee vema nawe ukae muda mrefu duniani.” 4 Nanyi, akina baba, msiwe mkiwakasirisha watoto wenu, bali endeleeni kuwalea katika nidhamu na mwongozo wa akilini wa Yehova

    ReplyDelete
  7. *Kijana Erick anaonekana kabisa kuchoshwa na suala zima la kuwa last born....

    Hongera sana Kaka Erick, kwa kutimiaza miaka 12, ni mingi sana ila tunaomba Mungu azidi kukupa mingine miiingi.

    Mungu akubariki sana.

    ReplyDelete
  8. Kwa niaba ya Kija au kama mwenyewe nimwitavyo babu napenda kuchukua nafasi hii na kuwashukuruni wote akina mjomba na akina mama kwa kumtakia kijana Erik yote mema kwa siku yake ya kuzaliwa... Mija nimecheka kweli hapa eti "Erik kachoshwa na suala zima la kuwa last born...."

    ReplyDelete
  9. MANY many many hongeras kwa Erik

    ReplyDelete
  10. mwenyezi mungu akujalie mambo mema na daima uwe mtiifu kwa wazazi na kutimiza ndoto zako za maisha. nami nakuunga mkono

    ReplyDelete