Wednesday, May 2, 2012

DUNIA HAINA SIRI......MNAIKUMBUKA HII?

Kama kawaida ni kipengele chetu cha JUMATANO YA MARUDIO YA MATUKIO MBALIMBALI  na leo katika kuperuzi nimekutana na hii. na nilipeperuzi ni hapa



Panapo majaliwa tukutane tena JUMATANO IJAYO na MARUDIO MENGINE/JINGINE...MUWE NA WAKATI MZURI WOTE!!!

6 comments:

  1. Jamani mimi nimeshindwa kujibu swali la nne. Kati ya Kinyozi na Mti, je ni nani aliyetoa siri?

    Yasinta, nimeona mahali wanakuita Mwalimu, hebu tumia ualimu wako kunielewesha kidogo hilo swali.

    Mtu akitaka kutunza siri, atumie njia gani?

    ReplyDelete
  2. Usiye na jina! Aliyefichua swali la mfalme ni Kinyozi kwasababu kama kinyozi asingesema kitu basi mti usingefahamu kitu..Ukitaka kutunza siri basi usimwambie mwingine kwana hakuna siri ya watu wawili.

    ReplyDelete
  3. Yasinta,

    Asante kwa ufafanuzi, ingawa kwa maoni yangu bado naona Kinyozi alijitahidi sana kutunza siri ila ndo hivyo tena kwamba "Dunia Haina Siri". Watu wengine tukishaona siri moyo unadunda masaa yote, unatamani umwambie mtu ili angalau utue mzigo.

    ReplyDelete
  4. "Usiye na jina" Nafurahi kama nimeeleweka aangalao kiduchu ila sio wote tuko hivyo kuna wanaoweza kutunza siri ila huwezi kujua ni wepi...

    ReplyDelete
  5. Mfalme mwenyewe ndiye aliyetoa siri yake..

    ReplyDelete
  6. Mfalme mwenyewe ndiye aliyetoa siri yake..

    ReplyDelete