Friday, April 20, 2012

UJUMBE WA IJUMAA HII:- DAIMA KUMBUKA.....

1.SALAMU
2.SHUKRANI
3.SAMAHANI
4.SUBIRA
Basi nami nachukua nafasi hii na kumshukuru dada yangu Mariam wa http://mumyhery-jp.blogspot.se/ kwa picha hii hapa juu. Pia napenda kuwashukuru wasomaji wa Maisha na Mafanikio kwani bila uwepo wenu basi nisingeblog na salamu wa wote na wale niliowakosea snaomba mnisamehe..na mwisho nasubiri majibu  kutoka kwenu. NAWATAKIENI WOTE IJUMAA NJEMA!!!

8 comments:

  1. Salamu na shukrani kwako kwa kuendelea kutuletea mada zilizosheheni changamoto za kijamii na samahani sana kwa pale tunaposhindwa kuzidadavua vema nasi tunaendelea kusubiri mada zako motomoto.Wikiendi maridhawa mama maisha.

    ReplyDelete
  2. em3! Ahsante kwa kupita hapa na kuwa pamoja nami nami nasema pamoja daima:-)

    Kaka Ray! nawe nakutakia wikiende njema sana. Pia ahsante kwa kutokukosa kupita hapa na kuacha chochota kwani ndipo nipatapo nguvu.

    ReplyDelete
  3. Week and njema kwako Yasinta na wadau wako wote.
    Ujumbe ni mzuri,shukrani.Tukopamoja.

    ReplyDelete
  4. Yasinta nashukuru kwa kuniweka kwenye blog lists yako.Ubarikiwe sana.

    ReplyDelete
  5. Dada Edna kumbuka tupo pamoja na wote tunafanya kitu kimoja. Baraka ziwe kwako pia

    ReplyDelete
  6. Kila kuendako hisani hakurudi nuksani bali shukrani.Asalaam alykum kwa wadau wa kibazani kwa binti wa Kingoni.

    ReplyDelete
  7. jamani mama erick shukran kwa yote tupo pamoja!!!

    ReplyDelete