Saturday, April 7, 2012

STEVEN KANUMBA HATUNAYE TENA!!

Pole wanandugu, marafiki, majirani na pia waTanzania wote kwa kuondokewa na msanii wetu!!! Pumzika kwa amani.

4 comments:

  1. Poleni Tanzania pamoja na familia

    ReplyDelete
  2. hakika sisis ni wa mungu na kwake tutarejea kanumba umetutangulia mwenyezi mungu akulaze mahali unapostahili

    ReplyDelete
  3. Kweli watanzania wanapenda mambo ya hovyo kupita mambo muhimu! Who was Kanumba by the way? Acheni usanii hata hao viongozi na wake zao wanawafanyia usanii. Kuna mambo mengi muhimu ya kulifanyia taifa na siyo kuhudhuria misiba jamani.

    ReplyDelete