Baada ya wiki kadha mdada huyu kufikiria afanye nini na nywele zake, leo amepata msusi na sasa anajiandaa kwenda kusuka........
....baada ya masaa tisa anaonekana hivi...bahati mbaya msusi wangu hakutaka kuwa katika picha ni mdada kutoka Kongo....Nimesuka rasta (tena) ila si za wamasai ..hahahaha...Oh! halafu nimesahau kusema bei yake ni 500 kr. Maana nimesoma maoni ya Da´Mija ameuliza ni shiling ngani kusuka hivi?
picha ya juu bila rasta imetulia sana
ReplyDeleteNywele kama hizo ni shilingi ngapi Yasinta..
ReplyDeleteUmependeza sana.
Usiye na jina hapo juu Ahsante!
ReplyDeleteMija! ni 500kr sasa kuhusu shilingi piga ww mahesabu. Na ahsante kwa kuona nimipendeza:-)
Umependeza kwenye picha zote!!!!!
ReplyDeleteNi muonekano maridhawa kwa mwanamke halisi wa kiafrika.Wanasema mwanamke unywele au?
ReplyDeletemija wewe ni mtani wangu wa jadi nini?
ReplyDeleteHuu si uwanja wangu wala chichemi chochote zaidi ya kusema umependezi lakini.
ReplyDeleteRafiki hakika umependeza katika picha zote! Wewe ni katika baadhi ya mabinti wenye natural beauty, usuke, uonyoe yote sawa tu!
ReplyDeleteumependeza kwakweli hasa za rasta
ReplyDeleteUmependeza, mdogo wangu naona unapenda sana rasta, kwn nywele zako umetia dawa au zipo natural?
ReplyDeletenimeipenda hiyo ya kabla hujasuka zaidi...lol!
ReplyDeletePendeza sanaaaaaa
ReplyDeleteobat cytotec i think your blog very informative obat penggugur thanks for sharing cytotec
ReplyDelete