Sunday, April 8, 2012

BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO INAPENDA KUWATAKIENI WOTE PASAKA NJEMA SANA!!

Salamu za Pasaka ziwafikieni wote popote mlipo na baraka kwa wote wataopita hapa. Muwe na pasaka njema wote....MNAPENDWA SANA.


10 comments:

  1. Nawe pia, umependeza na white yako.

    ReplyDelete
  2. asante na wewe dada yasintah, japo email yangu umeichunia.

    ReplyDelete
  3. Dada Yasinta
    Nawe uwe na Pasaka njema pamoja na familia.

    Baraka kwako na kwenu

    ReplyDelete
  4. Umependeza mdada. Heri ya Pasaka, Amefufuka.

    ReplyDelete
  5. asante sana ubarikiwe nawe pasaka njema

    ReplyDelete
  6. Nawe pia na Familia yako, Pasaka njema sana na Mwenyezi Mungu awabariki.

    ReplyDelete
  7. Na wewe pia, natumai sijachelewa

    ReplyDelete
  8. Ahsanten ndugu zangu kwa kuwa nami..mie pasaka imeenda safi kiduchu ..nilikuwa katika kubeba maboxi:-) natumaini nanyi mmeisherehekea siku hii vema. Upendo Daima na baraka nyingi za Mwenyezi Mungu kwa wote waliopita hapa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Asante sana dada Yasinta nawepia Mungu azidi kukubariki Amina.

      Delete
  9. Kaka Festo ahsante nawe ubarikiwe pia!!

    ReplyDelete