Umewahi kufanya maamuzi magumu sana kwenye maisha yako? ilikuwa ni kuhusu nini?haya funguka sasa! NAWATAKIENI WOTE KILA LA KHERI NA MUWE NA MUDA MZURI NDANI YA MWISHO WA JUMA HILI LA MWISHO WA MWEZI HUU WA TATU.UPENDO DAIMA.
Kaka Chacha! kwa nini kukua kimya? Usiye na jina wa 1.48 njaa haina mkubwa ndugu yangu... Na usiye na jina wa 2:09..Hayo kwali ni maamuzi magumu...pole sana na ukizingatia kuwa alimchagua mdogo wako....
Niliamua kuacha kudanganyika na RAFIKI nimpendaye baada ya kugundua yeye ni watu WAWILI au ELFU na inategemea tu na mazingira! Ila sina kinyongo kwa kuwa nimegundua anafurahisha kila watu wakati kwangu miye nimestukia HAKUNA BINADAMU afurahishaye kila mtu kama kweli kangangamala kikweli kwa UKWELI hata wa nani ni RAFIKI wa KWELI!
Mtakatifu Simon! Una uhakika huyu RAFIKI umpendaye kweli ni watu WAWILI? inawezekana labda alikuwa na hofu tu...Na unaposema ya kwamba umegundua kuwa anafurahisha watu wote unamaanisha nini?...Hii inasikitisha kidogo ningekushauri uongee na RAFIKI yako ili muongea. Maana RAFIKI ni kitu bora sana....Ni ushauri tu!!
kukaa kimya!!!
ReplyDeleteNilikunywa uji wa mtoto wangu mwenyewe baada ya kubanwana njaa ya kufa mtu1
ReplyDeletenilishawahi kufanya maamuzi magumu kumwacha mkewangu..........baada ya kugundua anatembea na mdogo wangu
ReplyDeleteKaka Chacha! kwa nini kukua kimya?
ReplyDeleteUsiye na jina wa 1.48 njaa haina mkubwa ndugu yangu...
Na usiye na jina wa 2:09..Hayo kwali ni maamuzi magumu...pole sana na ukizingatia kuwa alimchagua mdogo wako....
Niliamua kuacha kudanganyika na RAFIKI nimpendaye baada ya kugundua yeye ni watu WAWILI au ELFU na inategemea tu na mazingira! Ila sina kinyongo kwa kuwa nimegundua anafurahisha kila watu wakati kwangu miye nimestukia HAKUNA BINADAMU afurahishaye kila mtu kama kweli kangangamala kikweli kwa UKWELI hata wa nani ni RAFIKI wa KWELI!
ReplyDeleteMtakatifu Simon! Una uhakika huyu RAFIKI umpendaye kweli ni watu WAWILI? inawezekana labda alikuwa na hofu tu...Na unaposema ya kwamba umegundua kuwa anafurahisha watu wote unamaanisha nini?...Hii inasikitisha kidogo ningekushauri uongee na RAFIKI yako ili muongea. Maana RAFIKI ni kitu bora sana....Ni ushauri tu!!
ReplyDelete