Mwanamke ni kama jua ambalo bila wao sayari ingekuwa bila watu.
Unapotoa, ni kama kutoa pumzi ya uhai.
Na kuzaliwa kwa mtoto, aliye tumboni mwake.
Wanawake ni watu wa kipee, kama watu wangejkuwa wema wangewapa wanawake thamani zaidi.
Wanaume/watu hawajui vipi kujivunia wanawake na ndio sababu wanawake hawasikilizwi hata kama wana la kusema.
Ba watu wanajifanya vipofu ili kuweza kurahisisha ushahidi wao katika neema ya kutambua uzuri wa wanawake.
HONGERA WANAWAKE WOTE KATIKA DUNIA HII. PIA TUSIWASAHAU WANAUME KWANI BILA WAO UWEPO WETU HAUNGEKUWEPO.
Upendo kati yetu ndo nguzo kuu, asante sana kwa ujumbe na Mungu aendelee kutubariki wanawake, Amen
ReplyDeleteHONGERA SANA DADA YASINTA NA WANAWAKE WOTE WATAKAO SOMA UJUMBE HUU....HONGERENI SANA BILA NYINYI TUSINGEKUWEPO DUNIANI.
ReplyDeletepamoja na yote bila kuwepo mwanaume hakuna mwanamke sote tunashirikiana,hatahivyo ninawapongeza sana wanawake halafu ninawapenda sana
ReplyDeleteWanawake OYEEE!
ReplyDeleteOyeeee kaka wa mimi Kitururu mwana,Ahsante da'Yasinta kwa Ujumbe.
ReplyDeletebado mnasafari ndefu wanawake wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.ila kuwapongeza haikataliwi hongereni sana.
ReplyDeletekaka s.
Maendeleo ya Mwanamke ni Maendeleo ya Taifa zima, Pokeeni Pongezi Zenu Wanawake wote akiwemo Mama yangu Mzazi.
ReplyDeleteHongereni wanawake wote. Bila nyinyi kusingekuwa na jamii. Mungu Aendelee kuwabariki !!!
ReplyDeleteHongereni Wanawake wote Dunian msingekuwepo Dunia isingekuwepo nawapenda wote
ReplyDelete