Wednesday, March 7, 2012

DADA SAIDA KAROLI NA UJUMBE WAKE ...MAPENZI KIZUNGUZUNGU:-(


Wimbo ingawa mwanzoni unaibwa kwa KIHAYA (nadhani) lakini nashukuru mwishoni amefafanua....ni maalumu kwa wapendanao wakiwa katika myumbisho....Jinsi nilivyousikiliza maneno yake ni kweli kabisa kama upo katika hali hii wimbo huu unagusa na kuumiza ila pia mzuri kucheza. Nami UJUMBE WANGU KWA WAPENDWA WANGU NI KWAMBA TUPENDANE NA PALE TUNAPOPISHANA TUSAMEHEANE/TUWE WEPESI KUSAHAU YA KALE NA KUANZA MAPYA. KILA MTU ANASTAHILI NAFASI YA PILI. SIKU NJEMA KWA WOTE!!! KAPULYA

4 comments:

  1. nimependa hapo mwisho wa wimbo,jamaa kaja na kitenge kamvalisha bibie na kisha wakatokomea ndani kumalizia mapenzi kizunguzungu! . ujumbe mzuri kuhusu mapenziiiiiii. kaka s.

    ReplyDelete