
..Ebu angalia bonge la mti hapa ni Peramiho wale walofika Peramiho kilimo cha mseto ...sijui nami naweza kunenepa /kuwa kama mti huu....

Au ngoja tumwangalia mdada akikagua shamba lake la ndizi au matunda kwa ujumla pia miti..ni mkulima pia mdada huyu:-)
Kidogo tu tungelikutana, karibu tena
ReplyDeleteSafi sana! Nimekupenda huko kwenu....ipo siku nitakuja kuwatembelea.
ReplyDeletePoa sana!Na shamba la migomba ni bonge la gesti!:-(
ReplyDeleteemu3! ni kweli ilibakikidogo tu tungeonana... Ahsante
ReplyDeleteKaka baraka! Yaani KARIBU SANA nina uhakika utafurahia sana.
Simon! una maanisha nini usemapo shamba la migomba ni bonge la gesti?..Na Simon Ahsante kwa kupita hapa DAIMA PAMOJA:-)
@Yasinta: Namaanisha siye wengine tusio na pesa za kwenda gesti za kiukweli. Migombani ni gesti na watoto kadhaa wa kadhaa wanatungiwa huko! Unabisha?
ReplyDeleteOh, oh, oh!! kumbe ulikuwa na maana hiyo nakuelewa na umenikumbusha kama ile ya miembeni:-) Ahsante kwa ufafanuzi..
ReplyDeleteAsante kwakunielewa mchuchu@Dada Yasinta
ReplyDeleteyasinta kwani miembeni kuna historia yoyote unayoikumbuka?
ReplyDeletewewe mdada inaonekana kusaka maisha ndo kulikupeleka ulaya lakini zaidi ya hapo safi sana yaani unaipeleka mbali sana na huo mti natumai ndipo mnafanyia tambiko hapo uko unatambika watu hawajui faida ya miti asnte sana
ReplyDeleteAsante Yasinta kwa kutukumbusha:Jasiri haachi asili na muacha asili...................!!!!
ReplyDeleteKaka John! ni kwamba mwaka juzi au jana niliandika mada kuhusu mimi na rafik yangu tuli.....miembeni wakati tukienda hospitali umesahau?...
ReplyDeleteBatamwa! kilima ni msingi wa maisha. Na kuhusu huyo mti inawezekana ..LOL. Ahsante kwa ulichosema pamoja daima.
Kaka Ray...ni kweli anayesahau kwake huyo ana matata...