Ukiwa katika maumivu ya kupenda huu wimbo unaweza kupunguza maumivu au kuongeza...Nimeusikiliza jana zaidi ya mara kumi....Nangoja nini duniani bila kuwa na wewe mwenye shingo ya upanga....aahh naacha endeleeni nanyi pia. IJUMAA NJEMA SANA!!!
Kaka John kwanza karibu tena naona majukumu yamebana kweli maana ulipotea. Ni hivi kaka John nitajaribu kujibu swali lako hili:- "hivi shingo ya upanga ikoje ikoje. nisaidieni tafadhali" na jibu lake ni hili hapa Shingo ya upanga ni shingo ndefu iliyo nyooka siyo fupi.Sanasana mtu anaweza kusema ,mwenye shingo kama ya twiga.
Shukrani sana da'Yasinta,Ijumaa njema na kwako pia!
ReplyDeleteijuumaa njema kwako pia KADALA!
ReplyDeleteAsante sana binti Ngonyani.
ReplyDeleteNakutakia wikiendi njema pamoja na wadau wote wa kibaraza chako maridadi sana.
Kaka Mathew! ni kitambo sijakusoma.. nami natumaini nawe utakuwa na ijumaa njema.
ReplyDeleteAhsante KADODA! Nina imani utakuwa na ijumaaa pia wikiendi njema.
Kaka Ray! Ahsante nawe pia pamoja na familia.
hivi shingo ya upanga ikoje ikoje. nisaidieni tafadhali
ReplyDeleteKaka John kwanza karibu tena naona majukumu yamebana kweli maana ulipotea. Ni hivi kaka John nitajaribu kujibu swali lako hili:- "hivi shingo ya upanga ikoje ikoje. nisaidieni tafadhali" na jibu lake ni hili hapa
ReplyDeleteShingo ya upanga ni shingo ndefu iliyo nyooka siyo fupi.Sanasana mtu anaweza kusema ,mwenye shingo kama ya twiga.