Friday, February 17, 2012

TUSISAHAU HISTORIA ZETU/MAKUMBUSHO NA UASILI WETU!!!


IJUMAA NJEMA KWA WOTE!!!!

6 comments:

  1. Ahsante sana da'Yasinta wakitu hiki cha BWGA MOYO!!!!Duhh umenikumbusha mbaaaaaali sana!!!!

    ReplyDelete
  2. Rachel! unajua haya mambo ya makumbusho,sisi wenyewe waTanzania hata hatujui kama yapo watu wa nje ndo wanakuja kujua haya inanisikitisha sana kwa uvivu tulionao waTZ....Nimekukumbusha nini?

    ReplyDelete
  3. Makumbusho mengine yametelekezwa, na mengine zaidi yanabomolewa kujenga vitu vingine!

    ReplyDelete
  4. Nikweli kabisa da'Yasinta,kwetu kuna mambo mengi sana ya kujifunza na kujivunia, duuhh lakini wenyewe hatuyafuatilii wala kujifunza kupia hayo.Dada kwa wajomba/bibi mzaa mama alitokea hapo M'PWANI yakheee, huko yakhee' Chai kwa Samaki@!Tehtehtehteh nitakuwekea picha yake siku, na ukienda bongo ukamsalime,anakiswahili kirefu huyo hehehhe!!

    ReplyDelete
  5. dah, umenikumbusha bwagamoyo, hasa hayo maeneo ya kale na utalii wete, athante thana

    ReplyDelete