Monday, February 20, 2012

NAWATAKIENI JIONI NJEMA WOTE NA WIMBO HUU!!!


Leo nipo tu hapa nyumbani katika kusikiliza nyimbo angalau siku iishe haraka na pia kuondoa upweke, nimekutana na wimbo huu nimeupenda kwani ni kweli mambo ya kuchaguliwa mchumba ... ngoja niache...

2 comments:

  1. Pole sana kwa upweke maana hiyo nayo ni sehemu ya maisha na mafanikio na endelea kuserebuka na hilo sebene/lizombe ngoma Afrika.

    ReplyDelete
  2. pole dada kwani jana shemeji na watoto hawakuwepo ndo uliona ukiwa najuwa kuna jambo ambalo ulikuwa unatafakari maisha kama maisha nivizuri kuyapa muda wa kuyatafakari kwani binadamu hatukamiliki hakuna asiye na mawazo au fikra hii ni dunia na dunia ni duara kama maisha yalivyo safari ndefu mimi nimesoma leo asubuhi hii nimependa uwepo wako nyumbani kwani nyumba ni mwanamke asubihi njema

    ReplyDelete