Nisamehe
Je utaratibu sahihi wa kumsamehe /kusamehewa kwa mtu aliyekosa ni upi?
1. Mtu aombae msamaha kwanza/atubu ndipo asamehewe?
2. Asamehewe hata pasipo kuomba msamaha au?
3. Vyote viwili ni sawa?
1. Mtu aombae msamaha kwanza/atubu ndipo asamehewe?
2. Asamehewe hata pasipo kuomba msamaha au?
3. Vyote viwili ni sawa?
Hakuna kitu Msamaa! Na kama mtu anaamini kuna kusamehewa yabidi ajue maaa na ya KOSA na ni kwanini kosa lachukuliwa kama kasoro kwa binadamu ajulikanaye sio malaika!:-(
ReplyDeleteNi mtazamo wangu tu katika Swala! Jumapili Njema Mwanawane!
ReplyDelete