Sunday, January 15, 2012

KAPULYA ANAWATAKIENI JUMAPILI NJEMA WOTE MTAKAOPITA HAPA!!

Ni Jumapili ya tatu ya mwaka huu 2012 na blog ya Maisha na Mafanikio inapenda kuwatakieni wote mtakaopita hapa afya njema pia baraka nyingi sana. JUAMAPILI NJEMA WAPENDWA WANGU.

13 comments:

  1. Umependeza,sanaaaaaa,nawewe jumapili njema. Leo nisiku ya kuzaliwa kijana wangu wa mwisho,Oscar kanatimiza miaka 3. hivyo leo baba yuko henya henya kufanya mambo yaende mswano. ila nitarudi baadaye kunakitu nimekioona kutoka katika picha hii. kaka s.

    ReplyDelete
  2. Asante sana Dada Yasinta, nawe pia na Familia yako yote...Jumapili njema sana!

    ReplyDelete
  3. Kaka Sam Ahsante kwa yote yaani kwa kuona nimependeza na pia kunitakia jp njema..PIA NAPENDA KUMPA KHERI YA KUZALIWA SHANGAZI YANGU OSCAR MWAMBIE SHANGAZI YAKE KAPULYA ANAMTAKIA HIVYO. Halafu tumezaliwa mwezi mmoja:-) Kaka Sam fanya haraka maana nimepata hamu sana kujua ni nini umekiona katika picha hii...

    Kaka Baraka Ahsante!
    Da`M shukrani sana.

    ReplyDelete
  4. Katika picha hii, unaonekana unaumbo zuri tu ukiwa huja vaa nguo nzito au za kufunika mwili sana. nilicho kiona, ni mguu kwa mbalii japo umekunja nne. una kauzuri fulani ka asili.pia unajitahidi kila wakati ubaki kawaida, ndo maana hata kidani chako shingoni si cha dhahabu kama sijakosea,ukilinganisha/fananisha na vidoleni umekula dhahabu. ,sasa naweza kusema haina haja ya kuvaa kaputula /pensi,ila ukipiga suluwali amabayo inaufuata mwli wako isiyo bana sana nina hakika utapendeza, pia hata gauni ambalo siyo pana sana linalo endana na mwili wako mpaka chini,pia utakuwa ni bomba sana, na unapendeza sana ukivaa nguo/kitambaa kisichokuwa na marembo mengi,. nywele sina hakika kama ukiwa na nywele ndefu za bandia zinakutoa mchicha sana,anyway nihayo tu niliyo ona mimi .Oscar kasema shkrani kwa salam za siku ya kuzaliwa, anakukaribisha uk. kaka s.

    ReplyDelete
  5. Mhhh! Mwenzetu tunaingia 2012 umri unarudi nyuma! .. unakuwa msichana yule anayechanua .. badala ya kuzeeka! Du! Haya! Heri na Hongera zake! Umependeza sana!

    ReplyDelete
  6. Mimi nilichelewa mambo ya mtandao ila jana nilikuwa na familia ila leo nilikuwa na hamu kujua jana ulitoa nini kumbe umefanya vizuri kutupatia picha ya mwaka mpya maana nikweli umependeza mmno Dada yangu ujuwe sisi tuliozaliwa mwezi huu tunabahati sana kwanza huwa hatuzeeki daima ,Hapo kwakweli umekuwa mdala haswa Hongera sana ila tunaomba ILE TUNATAKA PICHA ILIYOTIA FORA MWAKA 2011 NA HII YA LEO IWE YA MWAKA HUU
    mimi kaka yako CHE JIAH

    ReplyDelete
  7. Salamu sana kwa wadau wote wa kibaraza cha mama Maisha.Kwa ujumla madokezo yenu ni yenye ladha maridhawa kwa mama maisha na familia yake.
    Hongera sana kwako mama maisha kwa kudumisha kile ambacho wengine wameshindwa.
    ----------------------------------
    Hapa nakumbuka ule wimbo:-
    Mtoto una umbo la kupendeza,mrefu mnene na mwanya wa wastani............hakika uzuri si shani..............................

    ReplyDelete
  8. Kaka Sam! kakangu unajua kuchunguza kweli.Maana umechambua kila kitu. Nimependa/furahi jinsi ulivyosema..hasa nimefurahi hapo uliposema "sasa naweza kusema haina haja ya kuvaa kaputula/pensi" kwa sababu sipendi kuvaa kaputula. Mwambie Oscar nitakuja ila aandae CHAI nyingi sana:-)

    Jacob! Usengwili mlongo..una vituko ww, huoni kuwa nimezeeka..umenikumbusha kitu Ahsanmte sana

    Kaka Che Jiah! una matata wewe kaaazi kwelikweli haya picha iliyoongoza au iliyopendwa mwaka 2011 ipo jikoni...
    Kaka Ray! nimeupenda sana wimbo. .. wako nilikuwa sijawahi kuusikia Ahsante. Karibuni kuendelea na mlilonalo moyoni.

    ReplyDelete
  9. Ni kweli dada kumsifia mtu dada yake si dhambi jitahidi kula vizuri na kukaangiza ila usihibe pekee yako na shemejiashibe sana ili awe kijana zaidi kwakweli hata jinsi ulivyo ukiambiwa urudi kusoma jangwani utapokelewa tuu waambie nimehamia hapo naingia fomu three utakaribishwa tu darasani mwili huu nakumbuka sana alikuwa nao marehemu bibi mzaa mama kwakweli wao wote wlikuwa na miili ya kitoto na wote walikuwa wanfikisha miaka mpaka mia si utani hii ni jamii moja yawatu wakale hawa chakai
    Hongera sana.mdala ,
    asante jioni njema naenda kukibila daladala
    Che Jiah

    ReplyDelete
  10. Dada nimeongea na nimesahau kukuambia tunaisubiri hiyo PICHA yako si picha picha tuu tunataka tupige kura ya maoni kama picha gani ilipendwa naenda kupanda daladala kwaherrrrriiiiii
    Dada yasinta baibai
    usengwile
    Che Jiah

    ReplyDelete
  11. Da'Yasinta Umeumbika dada wa mimi,kupendeza si kukaa uchi........

    ReplyDelete
  12. Mtoto mzuri Yasinta yani umependeza sana!

    ReplyDelete