Wednesday, December 7, 2011

TAARIFA ZA MSIBA WA BABU WA BLOGA WENZETU KAKA BARAKA CHIBIRITI HUKU NYUMBANI TANZANIA!!

Picha ya Babu Blezi Chibiriti, akiwa na mwanae wa mwisho mpendwa wake Fabiani Chibiriti


Kwa habari zaidi basi soma hapa. Babu yetu ustarehe kwa amani.

3 comments:

  1. Pole kwa msiba dada tuko pamoja kuomboleza au kufurahi kwa kuwa mzee wetu ameenda kupumzika kwenye makao tulioandali na Baba yetu wa mbinguni "Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe"

    ReplyDelete