Wednesday, December 28, 2011

NIMEPENDA MSEMO HUU:- NA NIMEONA IWE PICHA YA WIKI!!!

Tusiwe wepesi kuwahukumu watu.......



5 comments:

  1. Kujishuku,pia si kuzuri.asante kwa ujumbe. kaka s

    ReplyDelete
  2. Ahsanteni wapendwa kwa misemo,Baraka zimiminike juu yenu wote!!!@kaka sam umepotea sana, leo nilitaka kuweka Tangazo la upotevu wa kaka yangu SAM MBOGO!

    ReplyDelete
  3. Nipo nduguyangu,dada yangu,mambo tu ya majukumu,mala kulea watoto, kuosha tuvyombo,kupika,kufagia,nk muda unakuwa mchache sana hasa kwa wababa siye. asante kwa kuniwazia.nakutakia kheri ya mwaka mpya. kaka s

    ReplyDelete
  4. Kaka S. umenena ...

    Rachel! Baraka zimiminike kwako pia.. Utafikiri ulikuwa unasoma mawazo yangu ..nami niliwaza kumtantanga mkaka huyu kwa kweli.Labda watu wengine huwa hawawazwi nini?
    Haha ha ha haaaMweh..Kaka Sam wewe kwa vituko haya bwana kwa hiyo hizo kazi unafanya bila kupumzika? Nafurahi upo nasi hata hivyo:-)

    ReplyDelete
  5. Da'Yasinta Yote hayo katika Upendo wa kweli na kaka yetu,@Kaka Sam ndiyo maisha kaka yangu ni kusaidiana ndugu yangu,Ahsante sana kwa salam kaka nawe uwe na wakati mwema katika yote Mungu akutangulie pamoja na familia.

    ReplyDelete