Nawe pia na familia dada yangu. Daima pamoja...
For because of abundance [of occupation] there are dreams, and there are vanities and words in abundance. But fear the [true] God himself._Eccl 5:7
Ijumaa njema na familia yako pia.
Si uongo kabisa Yasinta, ujumbe wa leo ni nguvu tosha ya kutufanya tusonge mbele.. Ubarikiwe wewe utakayepitia hapa kwa dadangu Yasinta.
Mmmmh!Nawe pia Yasinta!
Duh! Vitendo lakini vitendo katika hili liujumbe maana MAUJUMBE saa nyingine bila kuyafanyiakazi hubakia kuwa maneno tu na sio UJUMBE.Naendelea kuwazishwa na UJUMBE!
Na wewe ijumaa njema na wikiend njema,UNAPENDWA PIA
Kutakiana wikiendi njema ni jambo jema sana wadau wa kibaraza cha maisha na mafanikio.Kwa ujumla nawatakieni wikiendi njema na kila jambo lenye wema liwe ni sehemu ya maisha yenu kifamilia.Asanteni sana na kwaherini!!
Nawe pia na familia dada yangu. Daima pamoja...
ReplyDeleteFor because of abundance [of occupation] there are dreams, and there are vanities and words in abundance. But fear the [true] God himself._Eccl 5:7
ReplyDeleteIjumaa njema na familia yako pia.
ReplyDeleteSi uongo kabisa Yasinta, ujumbe wa leo ni nguvu tosha ya kutufanya tusonge mbele..
ReplyDeleteUbarikiwe wewe utakayepitia hapa kwa dadangu Yasinta.
Mmmmh!Nawe pia Yasinta!
ReplyDeleteDuh! Vitendo lakini vitendo katika hili liujumbe maana MAUJUMBE saa nyingine bila kuyafanyiakazi hubakia kuwa maneno tu na sio UJUMBE.
ReplyDeleteNaendelea kuwazishwa na UJUMBE!
Na wewe ijumaa njema na wikiend njema,UNAPENDWA PIA
ReplyDeleteKutakiana wikiendi njema ni jambo jema sana wadau wa kibaraza cha maisha na mafanikio.Kwa ujumla nawatakieni wikiendi njema na kila jambo lenye wema liwe ni sehemu ya maisha yenu kifamilia.
ReplyDeleteAsanteni sana na kwaherini!!