Monday, November 14, 2011

HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA MTANI WANGU FADHILI MTANGA!!

Leo ni ni siku huyu kijana alizaliwa na blogg ya Maisha na Mafanikio inapenda kumtakia HONGERA KWA SIKU HII. Kwani ni siku muhimu sana kwake na pia kwetu kwani tumekuwa kama ndugu sasa. Basi ngoja tuselebuka siku hii pamoja na kaka huyu kwa wimbo huu nina imani ni nyimbo azipendazo.....

HONGERA FADHY!!!

6 comments:

  1. Mambo ya watani wa jadi mwanzo hadi mwisho.

    ReplyDelete
  2. Hongera, sana, Fadhili!

    (Pole lakini vilevile kwa kupunguza mwaka TENA katika siku zako uliopewa duniani)

    ReplyDelete
  3. Epi besdei mkuu... Allah akutangulie kwa kila ufanyalo..

    ReplyDelete
  4. Ahsante sana dada Yasinta kwa kunitakia kheri kibarazani kwako. Pia ahsanteni sana nyote kwa kunitakia kheri ya siku ya kuzaliwa. Mwenyezi Mungu akubarikini sana.

    ReplyDelete
  5. Ahsanteni sana wote kwa kuwa pamoja na Fadhy kwa kusherekea siku yake ya kuzaliwa. Pamoja daima!!

    ReplyDelete