Thursday, October 27, 2011

UJUMBE WA LEO UKUTOKAO KWA KAPULYA NI HUU HAPA!!!

Ndoto zetu zote zinaweza kutimizwa ikiwa tutakuwa na ujasiri wa kutimizwa.

Ngoja Kaka Sam amalizie na wimbo huuu...


ALHAMIS NJEMA JAMANI NA TUSISAHAU KUMSHUKURU MUNGU KWA KILA JEMA NA KILA SEKUNDE ATUPAYE NA KILA ATUJALIALO.

5 comments:

  1. Safiiiiii sana,SAM. ujumbe umefika,Yasinta aksante. kaka s

    ReplyDelete
  2. kama ujumbe umefika ni furaha kwangu. Naona leo umefurahi zaidi kwa vile huyu SAM ni wajina wako ...LOL

    ReplyDelete
  3. umejuwaje!!? napenda sana muziki ila siyo kuwa mwanamuziki. na akina Sam wengi tu niwanamuziki wazuri tu. kulatano! safi.kaka s

    ReplyDelete
  4. Nimegundua kwa vili umaandika hiyo sam kwa herufi kumbwa SAM... Lakini pia inawezekana sio jina moja.. Mie pia nimependa mziki pia maneno.

    ReplyDelete
  5. Zaidi ya ujasiri kunatakiwa kuwa na utayari kuthubutu na kutenda kwa nia ya dhati.

    ReplyDelete