Jumapili ya leo nawaomba muungane nami na kuimba wimbo ni katika nyimbo za zamani za Bikira Maria...ambazo ni nyimbo maarufu sana ziliimbwa sana karibu na kila mwumini, naamini mtakuwa mnaufahamu ni huu hapa haya tuimbe pamoja moja, mbili, tatu :- "Sisi wana wadunia tukumbuke maneno aliyosema Bikira Maria, alipo watokea watoto wa Fatima; Lucia, Francisco na Yasinta, alisema tusali....tusali rozari na tupate amani, na tuwaombee wale wakosefu wasio na mwombezi". Ahsante kaka Baraka Chibiriti kwa kunikumbusha wimbo huu:-)
Hata hivyo naona tusikilize na nyimbo nyingize za zamani pia....
JUMAPILI NJEMA KWA WOTE!!!!!
JUMAPILI NJEMA KWA WOTE!!!!!
Jumapili njema kwako pia Yasinta!
ReplyDeleteAsante kwa wimbo pia ingawa siye wngine hasa tutokao katika DINI na IMANI zimrukazo BIKIRA MARIA huu wimbo ni mpya ila mtamu!
R.I.P Asifiwe!
Ahsante kwa kunitakia jumapili njema..ila kuna kaubaridi leo hapa. Bahati mbaya nimeshindwa kujirekodi ili mngesikia jinsi unavyoimbwa:-)
ReplyDelete@Simon & Yasinta;
ReplyDeleteAsanteni sana kwa salamu za wikiendi[Jumapili] na ni furaha yangu kuwa imemalikiza kwa amani na furaha.
ASANTE SANA DADA YASINTA....NAWE PIA NA FAMILIA YAKO, J2 NJEMA.
ReplyDeleteHizo nyimbo ulizoweka nimechanganyikiwa sana! kwa nini sikuzisikiliza ijumapili? kumbukumbu mhimu sana.BIGUP Yasinta/Jasinta
ReplyDeletehello dada yasinta aisee kama una hii albamu tafadhali dada naomba unitumie hizo nyimbo nipo ughaibuni kwa muda sasa sijafankkiwa kuzipata hizo nyimbo na nimetafuta sana tafadhalini na wadau wengine ikiwezekana saidia mie tafadhali email yangu ni nrbanzi@yahoo.com
ReplyDelete