Ni hivi:- Maria na kaka yake mdogo aitwaye Juma wanataka tuhesabu miaka /umri wao. Juma anasema ukizidisha umri wangu mara mbili halafu jumlisha jawabu na umri wa Maria na pia zidisha mara mbili, jawabu litakuwa 7148.
Na Maria naye anasema ukizidisha umri wangu mara mbili halafu jumlisha na jawabu la umri wa Juma pia zidisha mara mbili, jawabu litakuwa 5274. Je? Maria ana umri gani? na Juma ana umri gani?....Nawatakieni kila la kheri kwa changamoto hii pia Alhamis njema....Kapulya.
Tuwekee calculator tutafanya haraka zaidi, kwani tunatunza raslimali karatasi na wino!
ReplyDeletePia umesahau kuwa wakati ni pesa :-)
Kaka Chib! huhitaji karatasi kubwa kufanya hesabu hii. Wakati ni pesa:-)
ReplyDeleteNaona chemsha bongo hii imewachemsha kweli watu inabidi nitoe tu jibu:- ni kwamba Lukas ana miaka 17 na Maria ana miaka 19
ReplyDeleteLukas:17x17=289,na 19x19x19 6859.
289+6859=7148,
Maria: 19x19=361 na 17x17x17=4913.
361+4913=5274.