Tuesday, October 18, 2011

NAPENDA KUTOA SHUKRANI ZANGU KWA WOTE KWA MAOMBI YENU/ JIONI HII NINAJISIKIA NAFUU NA NAAMINI NIPO SALAMA..AHSANTENI!!!


Kwa ajili yenu wapendwa

Napenda kuwashukuruni wote kwa maombi yenu mazuri.Kweli nasema upendo wenu na mshikamano ni mafanikio makubwa kwa mimi na pia kwenu. . Kwa hiyo kwa jambo hili napenda KUWASHUKURUNI WOTE. NA NASEMA PAMOJA DAIMA bila kusahahu UPENDO DAIMA!!!!!

7 comments:

  1. Mungu aendelee kukulinda da'Yasinta.

    ReplyDelete
  2. Ahsante Da´Rachel...Nami naamini hivyo pia.

    ReplyDelete
  3. SISI SOTE NI NDUGU.
    UPENDO NA MSHIKAMANO KWA WADAU WOTE.
    HAYA NDIYO MAISHA NA MAFANIKIO NDANI YA MIKIKIMIKIKI.

    ReplyDelete
  4. Kaka Raynjau..Ahsante.kweli ukiwa na mikikimiki katika maisha lazima mwili ushtuke...

    ReplyDelete
  5. Usiwe haraka haraka lakini kurudia kazi nzito; jupe muda wa kutosha ili upone kabisa (na ningekuwa daktari wako ningekuamri: "kazini mara ya kwanza labda Alhamisi lakini siyo kabla!"

    ReplyDelete
  6. Pole sana na tunashukuru unanafuu! Maana baada ya kusoma posti yako ya chini nilitaka kusema usijeshangaa kuwa ni Malaria. Mie nilishawahi kuona watu wanaibukwa na Malaria hata miaka kadhaa baada ya kutoka kwenye Mbu kwa kuwa wanakuwa na malaria dormant tu mwilini na huweza kuibuka muda ambao mtu wala hategemei.

    ReplyDelete
  7. Kaka Mkubwa Phir! kusema kweli nashukuru nipo off kwa hiyo ntapumzika kutosha.Ahsante

    Kaka mdogo Simon! ulichosema ni kweli kwani nakumbuka kuna mwaka mume wangu tulitoka Nyumbani TZ na baada ya miezi mitatu-nne akapata maralia ya nguvu kweli. Nami juzi nilijua ni hayo au pia inawezekana ni yenyewe si huwa symptom zinakuja na kutoka kwani bado nina udhaifu mwilini. Ahsante kwa pole..

    ReplyDelete