Sunday, October 23, 2011

JUMAPILI YA LEO EBU TUSIKILIZE KWAYA HII YA WATOTO HAWA!!


Nimeipenda kwaya hii watoto wanaimba vizuri pia wana sauti nzuri.Nikaona tusiwasahau watoto na ndio nikaona wao watupe raha jumapili ya leo. JUMAPILI NJEMA SANA KWA WOTE.

4 comments:

  1. watoto ufalme wa mbinguni niwao.jumapili njema na weye,Yasinta.kaka s

    ReplyDelete
  2. Asante da'Yasinta iwenjema kwako pia.

    ReplyDelete
  3. Simon,KakaS na Da Rachel! Ahsanteni sana naamini nanyi mmekuwa na jumapili njema:-)

    ReplyDelete