Thursday, September 22, 2011

Tamasha Maalum la Kumuenzi Hayati Dr. Remmy Ongala

Salam,

http://www.youtube.com/watch?v=huNcBwH9_UQ

Aziza Machozi Ongala na mumewe Miael McGeachy, mzawa wa Jamaika, wakiongea na Urban Pulse na Freddy Macha kuhusu shughuli zao kuimarisha kumbukumbu na kazi za mwanamuziki Remmy Ongala aliyefariki Desemba 2010, mjini Dar es Salaam.
Mahojiano yalifanywa katika Ubalozi wa Tanzania, London.

Habari zaidi bofya : http://www.thedkremmyongalafoundation.com/

Asanteni,

URBAN PULSE CREATIVE Wakishirikiana na Freddy Macha

1 comment:

  1. Dokta Remmy Ongala ameacha jina kule Sinza Manispaa ya Kinondoni na abiria hutumia kituo cha Sinza kwa Remmy.Kule Songea kwa wazee wa lizombe nasikia ndiyo hasa chmbuko la kuchanua na kunga'ra katika tasnia ya muziki na burudani.Kwa wadau wa utamaduni wa mswahili na bidhaa zake Dkt.Remmy Ongala aliutangaza vema utamaduni wa mswahili na bidhaa zake katika anga la maziwa makuu na Ulimwenguni kwa ujumla.Dkt.Remmy Ongala alikufa lakini kazi zake zitaendelea kuwepo kwa vizazi vyote.Vijana wanaoamua kuingia kwenye tasnia ya muziki na burudani wajifunze kuwa watunzi wazuri wa mashairi ya Kiswahili na kuimba kwa hisia kulingana na mandhari husika.
    ----------------------------------
    R.Njau

    ReplyDelete