Sunday, August 14, 2011

Savannah Lodge!!!

New cheap and very nice. Close to Julius Nyerere International Airpor in Dar es salaam.Only 20 000TZS for a night. (about 14$)You´ll find it in Kitunda not far away from Banana in the beginning of the Kisarawe road.













4 comments:

  1. asante dada glob ya maisha kwakutuletea na kutujuza mambo mazuri ubarikiwe sana sasa ni hivi hii savannab lodge ni nzuri sana kwa mwonekano wake na bei pia sio mbaya ila nataka kusema kitu kimoja tu kwanza kitu cha msingi kwa mahali popote iwe hoteli au lodge kitu muhimu kwanza ni ulinzi wa uwakika pili wahudumu wawewanajua wajibu wao wawe na kauli nzuri na wateja tatu usafi uzingatiwe sana hayo mengine dio yafuaate ni hayo tu

    ReplyDelete
  2. @"Savannah Lodge"

    KITENDAWILLI!!!

    Nini tofauti katika kuzaa mtoto wa kiume au wa kike?

    JAWABU:


    Mtoto wako wa kiume ataendeleza ukoo wako SAFI SANA!!!(Lakini hamna lingine la ziada kwako tena pole sana!)


    Papohapo: mtoto wa kike ataendeleza ukoo wa watu wengine lakini KWAO HASAHAU!!!


    Nampenda sana, huyo Yasinta kwa kudumisha uSwahili wake! (ila ninawivu kidogo hakushuka kiasi cha kufikia hadi hapa Bondeni, Mji wa Pretoria: na sio kuishia Dar Es-Salaam tu).

    ReplyDelete
  3. Duh, kumbe ndivyo palivyo, napasikiaga tu , ingawaje tupo karibu napo...mmh, shukurani tupo pamoja

    ReplyDelete
  4. Ndugu yangu usiye na jina hapo juu wa 14,2011 11.50PM ,pia wasomaji wa Maisha na Mafanikio na wageni wangu watarajiwa kwamba Savannah Lodge ina ulinzi imara pamoja na wafanyakazi waaminifu, wasafi na wachangamfu. Hivi sasa kuna usafiri wa watu wanne lakini niko mbioni kununua gari liwezalo kuchukua watu 8 including driver kwa ajili ya matumizi ya wageni.
    Nitafurahi kupata maoni zaidi.
    Asante sana.

    ReplyDelete