Tuesday, June 14, 2011

CHANGAMOTO YA LEO:-PICHA ZA MICHORO! JE? UNAWAFAHAMU/UNAMFAHAMU KATI YA MMOJA WAO AU WOTE?




Je hii/huu mchoro wa kwanza ni nani hapa?


Na je? katika mchoro huu ni nani?
Katika michoro hii miwili kuna kitu ambacho kinaleta uhusiano fulani. Je? unajua ni nini au ni kipi? karibuni tutafakari pamoja.

7 comments:

  1. Duh, bado namkumbuka, hiyo ya kwanza sio ya mkuu..., lakini hivyo videvu, ngoja nimtiame kwanza!

    ReplyDelete
  2. ya juu ni caricature ya mtaka-vitu (mtakatifu) simon kitururu.

    ya chini ilisemekana ni ya songbird judith wambura mbibo (lady jaydee)ingawaje wengi walisema aliyemchora alipatia nywele, sura hakuipatia sana

    ReplyDelete
  3. Ya juu ni taswira ya Mtakatifu sana, Simon Kitururu, ya chini kama alivyosema Mwaipopo ni ya Jide (Lady JD) ambayo Mzungu alijikakamua kuichora lakini hakuipatia sana

    ReplyDelete
  4. hii ya chini ni Yasinta!.msishangaee kipengere cha nywele. kaka s

    ReplyDelete
  5. Huyo wa juu ni kaka mmoja hivi anaitwa Simon wa Kitururu!!!

    Huyo wa chini niungane na emu-3 na Mwaipopo!!!!

    ReplyDelete
  6. Ndugu zanguni ahsante sana kwa kutonitenga... sasa ni hivi katka hii michoro miwili ni kwamba ni kaka kitutu na dada Jaydee na ni kwamba michoro hiyo yote imechorwa katika nchi mmoja ambayo ni Sweden ila sina uhakika kama ni mchoraji mmoja.

    Kaka S! umechemsha kakangu si mimi kabisa ...

    ReplyDelete