Sunday, June 12, 2011

JUMAPILI NJEMA NDUGU ZANGUNI!!!!!!!


Nawatakieni jumapili njema kwa wimbo huu maana umenikuna kweli kweli na nimeusikiliza mara elfu na elfu...
IMANI NA UPENDO WA MWENYEZI MUNGU UTAWALE NYUMBANI MWENU !!

3 comments:

  1. Hata kama JUMAPILI NJEMA ni matusi ,...
    ... Jumapili NJEMA nawe pia!:-(

    ReplyDelete
  2. Hao waimbaji ukiihitaji album yao yote wasiliana na mwenye namba hii:+255 783 096 007

    ReplyDelete
  3. hahaha Simon usijali jumapili njema na wewe pia japo sie tunasema Sabato Njema.

    ReplyDelete