Monday, May 30, 2011

Swali/Fikirisho la jioni ya jumatatu hii:- UNAJUA/ULIJUA KWAMBA........

..........Wanawake ni wapesi sana kukumbuka sura za watu wengine kuliko wanaume? Hasa hukumbuka sura za wanawake wenzao. Je? Ni kwanini hasa?

1 comment:

  1. Yasinta: Ogopa generalization. Mimi hata computer yenye hainikuti katika kunasa sura za binadamu. Japo pia sipendi kujikweza, lakini huu ndio ukweli but I am not a woman!

    ReplyDelete