Sunday, May 8, 2011

NAWATAKIENI JUMAPILI NJEMA WOTE!!!!



Mwka juzi nilipokuwa nyumbani kila jumapili nilikuwa nausikia wimbo huu na nikaupenda sana. Nikafanya jitihada kuutafuta na sikuupata na leo nimeupata nimefurahi sana . NAWATAKIENI JUMAPILI NJEMA SANA KWA WIMBO HUU....
JUMAPILI NJEMA WOTE!!!

3 comments:

  1. Nashukuru dada Yasinta, jumapili njema kwako kwa familia pia. Happy Mothers' day.

    ReplyDelete
  2. Ujumbe mzuri sana dada Yasinta....nimeupenda sana pia...Mungu na akubariki sana.

    ReplyDelete