Sunday, May 29, 2011

Na hizi ni zawadi nilizopata kwa siku hii ya akina mama!!!

zawadi kutoka kwa kijana Erik


Akisema:- Kwa mama,mama nakupenda, nakupenda kwa sababu wakati ninapokuhitaji upo. Unanisaidia, unapika chakula ktamu mmhh:-) nakupenda mama.Bila kupinga wewe ni mama bora.Mama wewe ni mwema, mwenye mawazo mazuri, mwenye furaha, mchekeshaji, cool, wewe ni bora na wewe ni wewe tu:-) HONGERA KWA SIKU YA MAMA NA WE NA SIKU NJEMA SANA YENYE FURAHA:-) NAPENDA KUKUKUMBATIA/Erik



Zawadi kutoka kwa binti Camilla na kijana Erik
Maneno hayohapo juu ya hiyo foronya ya mto yanasema hakuna kama wewe mama

Na hapa ni scarf:-) inapatikaka KappAhl



Camilla ametengeneza kwa mikono yake mwenyewe:-)



Na hapa ni zawadi zote nilizopata leo na nimekuwa na siku nzuri na nyenye furaha sana. Ahsante wanangu na pia Mume wangu kwa kuifanya siku hii ya MAMA kuwa njema.



NAWATAKIENI WOTE JIONI NJEMA NA NINA IMANI AKINA MAMA WENZANGU NANYI MMEKUWA NA SIKU NJEMA.

9 comments:

  1. Ni kweli Erik na Camilla, mama yenu ana kila sifa mliyompa.Hongera kwa kumpa zawadi!

    ReplyDelete
  2. Na mimi nakupaga mahongera mengi muuuno!!

    ReplyDelete
  3. A mother, mom, mum, momma or mama, is a woman who has conceived, given birth to, or raised a child in the role of a parent. Because of the complexity and differences of a mother's social, cultural, and religious definitions and roles, it is challenging to define a mother to suit a universally accepted definition. The male equivalent is a father.

    Hata hivyo kiingereza sikiwezi vizuri, maana naendelea na shule yake.

    ReplyDelete
  4. A mother, mom, mum, momma or mama, is a woman who has conceived, given birth to, or raised a child in the role of a parent. Because of the complexity and differences of a mother's social, cultural, and religious definitions and roles, it is challenging to define a mother to suit a universally accepted definition. The male equivalent is a father.

    Hata hivyo kiingereza sikiwezi vizuri, maana naendelea na shule yake.

    ReplyDelete
  5. Hongera sana rafiki kwa kuwa mama mwema kwa familia yako. Mungu azidi kukubariki.

    ReplyDelete
  6. Raha ya watoto ndo hii!! Hongera sana Mama Camilla kwa kutuletea watoto wabunifu namna hii..

    ReplyDelete
  7. Baada ya miaka 5 katika ndoa na mume wangu na watoto 2, mume wangu alianza kufanya tesa na kutoka nje na wanawake wengine na akanionyesha mapenzi baridi, kwa mara kadhaa anatishia kunitukana ikiwa nitathubutu kumuuliza juu ya uhusiano wake na wanawake wengine, mimi iliharibiwa kabisa na kuchanganyikiwa hadi rafiki yangu wa zamani akaniambia juu ya simulizi ya spell kwenye wavuti inayoitwa Dr.Wealthy ambao husaidia watu walio na uhusiano na shida ya ndoa na nguvu za miiko ya upendo, mwanzoni nilitilia shaka ikiwa jambo kama hilo litakuwapo lakini aliamua kujaribu, nilipowasiliana naye, alinisaidia kutoa upendo na ndani ya masaa 48 mume wangu alirudi kwangu na kuanza kuomba msamaha, sasa ameacha kwenda nje na wanawake wengine na wake pamoja nami kwa uzuri na kwa kweli . Wasiliana na cell hii kubwa ya upendo kwa uhusiano wako au shida ya ndoa kutatuliwa leo kupitia: wealthylovespell@gmail.com au moja kwa moja WhatsApp: +2348105150446.

    ReplyDelete