JUMAMOSI NA JIONI NJEMA KWA WOTE KWA WIMBO HUU MPYA WA DADA SAIDA KAROLI!!!
FURAHIA BURUDANI HII...
Dada Saida Karoli amerudi tena uwanjani, na mambo mootoo kweli kweli. Endelea dada Saida Karoli kuiwakilisha Tanzania, Afrika Mashariki na jamii zotw za kiBantu popote tu/walipo!!! JUMAMOSI NJEMA WANDUGU
Na wewe pia Dada Yasintaie hapa Spngea wazima jana tu CHADEMA walikusanya watu kweli Kiblang'oma shule ya msingi.
ReplyDeleteSijui ni kweli wanachama wao au ushabiki wa kutaka kuwapandisha sheli CCM.
Basi nawe jioni njema jiandae kwa Ibada hapo kesho
Asante sana Dada Yasinta....nawe pia J1 njema! na Familia yako kwa ujumla.
ReplyDeleteUsengula sana kwa kupita hapa pa Maisha na mafanikio...na chilawu mewawa----
ReplyDeleteKaka Baraka! Ahsante sana salamu zimefika na jioni ilikuwa nzuri. Na kwa hili twamshukuru Mungu.