Siku zilizopita zina umuhimu wake katika MAISHA ya sasa ya MTU pia.
Na labda siku zisizokumbukwa zinamchango wake na labda zile zikumbukwazo hazikumbukwi kiusahihi kwa kuwa jinsi vitu vikumbukwavyo na watu sio lazima kuwa hukumbukwa kiusahihi ukizingatia watu wapendavyo kutia nakshi KUMBUKUMBU zao ili kuremba au kuongezea maumivu kichumvi uhalisia wa matukio.:-(
Naye aliesahau siku zote zilizopita ... maana yake inawezekana kabisa kusahau yote...ni sawa kabisa na kipofu kwendelea mbele na maisha yake. Amekikosa chuo kikuu cha maisha, na atakufa mjinga pia urithi wa watoto wake ni huohuo ujinga wake.
Nakutakia nguvu zaidi, Nangonyani. Sote marafiki zako tunamitihani kama wewe; na hupo peke yako kamwe! Tunakuombea kila siku upone kiroho na kimwili!
Wakati mwingine maisha yaliyopita ni dhahabu...hata kama yalikuwa `magumu na ya kusikitisha' lakini ile kumbukumbu yake ina thamani sana, kwasababu gani `hairudi' ili u-edit, na hata kama `utajirudi' lakini utakuwa sio wewe yule yule...kwani umri na mabadiliko...yanakuwa sio yale tena!
Asante Dada Yasinta kwa ujumbe mzuri. Wanasema waswahili; YALIYOPITA SI NDWELE....BALI TUGANGE YAJAYO! Nimefananisha na usemi huu.
ReplyDeletemh tukumbuke siku tulipoanza kutizama tuliyozuiwa eti ni ya kikubwa, au kuanza mechi
ReplyDeleteSIKU NJEMA PIA
ReplyDeleteNa hilo ndilo neno la leo!! Asante mdadisi wetu.
ReplyDeleteUmenena mdada
ReplyDeleteSiku zilizopita zina umuhimu wake katika MAISHA ya sasa ya MTU pia.
ReplyDeleteNa labda siku zisizokumbukwa zinamchango wake na labda zile zikumbukwazo hazikumbukwi kiusahihi kwa kuwa jinsi vitu vikumbukwavyo na watu sio lazima kuwa hukumbukwa kiusahihi ukizingatia watu wapendavyo kutia nakshi KUMBUKUMBU zao ili kuremba au kuongezea maumivu kichumvi uhalisia wa matukio.:-(
Siku njema !
Asante iwenjema kwako pia!!!!Maisha ni hadithi ndefu!!!!.
ReplyDeleteKupima Imani yako ni kwa thamani kuliko Dhahabu.
ReplyDeleteNaye aliesahau siku zote zilizopita ... maana yake inawezekana kabisa kusahau yote...ni sawa kabisa na kipofu kwendelea mbele na maisha yake. Amekikosa chuo kikuu cha maisha, na atakufa mjinga pia urithi wa watoto wake ni huohuo ujinga wake.
ReplyDeleteNakutakia nguvu zaidi, Nangonyani. Sote marafiki zako tunamitihani kama wewe; na hupo peke yako kamwe! Tunakuombea kila siku upone kiroho na kimwili!
Wakati mwingine maisha yaliyopita ni dhahabu...hata kama yalikuwa `magumu na ya kusikitisha' lakini ile kumbukumbu yake ina thamani sana, kwasababu gani `hairudi' ili u-edit, na hata kama `utajirudi' lakini utakuwa sio wewe yule yule...kwani umri na mabadiliko...yanakuwa sio yale tena!
ReplyDeleteNi kweli kabisa dada Nangonyani Yasinta,hatuna budi kujua kuwa duniani tuwapita hivyo hatuna budi kujiandaa na kuwa tayari kila itwapo leo.
ReplyDelete@M3
ReplyDeleteBarabara!
Ni kweli kabisa, asante kwa ujumbe huu. kila la heri mpendwa
ReplyDelete