Sunday, April 17, 2011

PASAKA HIYOOO INAPIGA HODIIII:- LEO NI DOMINIKA YA MATAWI!!!

Na blog ya Maisha na Mafanikio inapenda kuwatakieni wote Dominika hii ya matawi upendo,furaha na amani. DOMINIKA NJEMA YA MATAWI KWA WOTE!!!!

6 comments:

  1. Imani ni kitu muhimu sana katika maisha ya binadamu. Mwenye imani ni binadamu. Mwenye kukosa imani ni kiumbe tu!

    ReplyDelete
  2. Ni kweli kabisa Goodman, umenena yaliyo moyoni mwangu, bila imani, utakuwa kiumbe wa ajabu kabisa. And u 2 my lovely sister Yasinta

    ReplyDelete
  3. Nachukua nafasi hii kuwashukuruni wote kwa kunitakia j´pili njema... jumapili yangu imekuwa njema kwa ujumla. Pamoja Daima!!

    ReplyDelete
  4. Tunashukuru sana kwa kutuwish pasaka njema.

    ReplyDelete